Ujana ndio muda wa kumtumikia Mungu na pia KUMJUA MUNGU – ELANDRE
Jina halisi anaitwa Emmanuel Andrew Mkumbwa, Anajulikana na marafiki zake kwa jina la ELANDRE. Kwa wanaofahamu muziki wa Gospel Hip Hop, sio jina geni kwao kutokana na radha ya sauti yake na ujumbe...
View ArticleMtu aponywa UKIMWI kwa kusikiliza Album ya nyimbo za kuabudu!
Mungu apewe sifa kwa matendo makuu anayotenda kwa kupitia mtumishi wake Mwinjilisti Milca Katete anayefanya kazi ya uimbaji nchini Canada. Muimbaji huyu mzaliwa wa Arusha Tanzania, amesikika sana na...
View ArticleUmetenda Mema – Kambua
Kambua Kambua ni muimbaji wa nyimbo za Injili mwenye jina kubwa nchini Kenya, alianza kuimba na kupenda nyimbo za Injili alipokuwa mdogo na watu wengi waliona kilichokuwa ndani yake, baadaye mwaka...
View ArticleGlorious Celebration Band
Band nzuri inayovuma kwa sasa nchini Tanzania, kwa uchezaji wao wa staha na sauti zenye kusikika vyema. Kiongozi wa Glorious Celebration Band Emmanuel Mabisa, aliongea nasi machache kuhusu kazi yao...
View ArticleBahati Bukuku asema DUNIA HAINA HURUMA
Bahati Bukuku, Rose Muhando na John Shabani mwezi wa Pili! Mwimbaji wa Injili Tanzania Bahati Bukuku baada ya kuwa kimya kwa miaka minne tayari ana album mpya yenye jina DUNIA HAINA HURUMA, hii ni...
View ArticleKaribu Roho – Neema Cizungu
Neema ni muimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya Congo, anafanya muziki wake nchini Kenya. Amejulikana Tanzania na album yake ya Karibu Roho iliyofanya vyema Afrika Mashariki, unaweza kusikiliza...
View ArticleNani Mshamba – Stara Thomas
Muimbaji wa Injili nchini Tanzania, Stara Thomas. Ameachia wimbo wake wa Nani mshamba unaopigwa kwenye vituo vya redio za injili nchini. Wimbo huo una maneno yafuatayo “Aliye kwa Yesu ni mjanja, Aliye...
View ArticleHongera dada Kambua
Jumamosi iliyopita tarehe 7/4/2012 ilikuwa siku ya furaha kwa dada Kambua Manundu. Ambapo alifunga harusi yake na mfanyabiashara na mchungaji Jackson Mathu kwenye bustani Windsor Golf Hotel....
View ArticleSIFA EBENEZER FOUNDATION kuzinduliwa Biafra!
Mwimbaji wa Injili kutoka Tanzania Sifa John anatarajia kufanya Tamasha kubwa la uimbaji ambapo atazindua album yake USILILIE MOYONI na huduma yake SIFA EBENEZER FOUNDATION siku ya tarehe 29/4/2012...
View ArticleAfrica Praise Night – Ottawa
Upendo Kilahiro amealikwa nchini Canada kwa ziara ya mwezi mmoja ambapo jumamosi wiki hii atafanya huduma kwenye kanisa la Christ Chapel Bible Church jiji la Ottawa. Huduma atakayoifanya ina lengo la...
View ArticleBUBELE&DIANA MINISTRIES Kuleta Uamsho wa Kusifu na kuabudu Afrika
Diana Kihayile akiongea kuhusu Afrika Inapendeza kuona watumishi wanaoenda nje ya Nchi yao kuendelea na huduma na kuzidi kuwa na kiu katika kumtumikia Bwana. Pichani ni dada anayefahamika kama Diana...
View ArticleKing’s Choir Kufanya Live recording, Morogoro
Ni tarehe 03 June 2012, Praise Team ya King’s kutoka mkoa wa Morogoro watafanya Live recording. Itakuwa ni Ibada ya kusifu na kuabudu kanisa la Canaan Calvary Assemblies of God, wakishirikiana na...
View ArticleTanzania yapata mwakilishi tuzo za Africa Gospel Music Awards
Christina Shusho Mwimbaji wa muziki wa gospel nchini Christina Shusho ameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za Africa gospel music awards zinazotarajiwa kutolewa tarehe 7 mwezi July mwaka huu...
View ArticleWaimbaji ”KWETU PAZURI” Wawasili Dar Leo
Sarah Uwera mmoja wa waimbaji wa kundi hilo, walipotembelea nchini mwaka jana Kwaya ya Ambassadors of Christ kutoka jijini Kigali nchini Rwanda imewasili leo Jijini Dar es salaam wakitokea nchini kwao...
View ArticleJohn Shabani Alifanikisha Tamasha la Sifa na kuabudu, Kuombea Taifa
Watu wengi walijitokeza kwenye tamasha la John Shabani. Tamasha hilo lililokuwa maalum kwa ajili ya Kusifu na Kuabudu na Maombi kwa ajili ya Taifa Letu la Tanzania lilifanyika Katika Kanisa la TAG...
View ArticleJohn Lisu kufanya huduma Ulaya
John Lisu wakati wa huduma Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu yuko Norway kwa sasa, anaendelea na huduma ambapo mpaka sasa amefanya Oslo, Stavanger, Kopervik, baada ya Norway anatazamia kwenda...
View ArticleMasanja Mkandamizaji atoa tahadhari!
Mchekeshaji maarufu Tanzania ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za Injili Masanja au kwa jina jingine Mchungaji mtarajiwa, ametoa tahadhari kwa wanaombeza kuigiza wakati yeye Mungu hajamwambia kuacha....
View ArticleWaimbaji wa nyimbo za Injili ni wanafki – Stara Thomas
Mwimbaji wa zamani wa Bongo fleva ambae sasa ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Stara Thomas hivi karibuni alitaja sababu za kushindwa kushirikiana na waimbaji wengine wa nyimbo za Injili kwenye album...
View ArticleHongera Tete Runiga
Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Tete Runiga amefunga ndoa takatifu nchini humo, kwa sasa anatambulika kama Tete Meshack. Tete anayesikika kwa album ya NIMEPATA RAFIKI ni mdogo wa Marehemu...
View ArticleSteven Mwikwabe atoa ushauri kwa waimbaji wa nyimbo za Injili na wachungaji
Mwimbaji wa nyimbo za injili nchini Tanzania, anayesikika kwa album mpya ya RAFIKI WA KWELI. Ametoa ushauri kwa waimbaji wa nyimbo za injili na wachungaji kama ifuatavyo “kabla ya yote napenda kuweka...
View ArticleDon Moen’s Peace Prayer for Kenya!
Dear Friends, Millions of believers have already been praying for a peaceful election process in Kenya. Please join with me wherever you are and reach our your hands toward Kenya as we pray. Heavenly...
View ArticleAlbum Nimeuona Mkono wenye Baraka iko Tayari
Muimbaji anayesikika kwa wimbo Nimeuona mkono wa Bwana tayari ana album yenye nyimbo nane iliyobeba jina “NIMEUONA” Sikiliza na tazama wimbo uliobeba album NIMEUONA Kupata mialiko na Album yake...
View ArticleChristina Shusho ashinda tuzo London!
Ambwene Mwamwaja akiwa na tuzo ya Christina Shusho mkononi, pembeni ni kijana Karabo Mongatane wa Afrika ya kusini ambaye amenyakua tuzo ya album ya mwaka kwa wapigaji wa Afro Jazz. Mwimbaji nyota wa...
View ArticleWaimbaji Christina Shusho, Upendo Nkone na Upendo Kirahiro wako Marekani...
Katika kipindi chetu wiki hiitumekuwa na habari za Mwimbaji Christina Shusho ambaye hatimaye harakati za wadau mbalimbali za kumpigia kampeni apate tuzo za Muziki za Kikristo zimezaa matunda baada ya...
View ArticleEmmy Kosgei Kuolewa Nigeria!!
Mwimbaji maarufu nchini Kenya na Afrika Emmy Kosegei (33) anatarajia kufunga ndoa na mchungaji Anselm Madubuko wa kanisa la Revival Assembly Cathedral lililoko Nigeria. Akiongea na gazeti la Daily...
View ArticleSiku ya Emmy Kosgei
Kiongozi wa kanisa la Revival Assembly Mtume Anselm Madubuko wa Nigeria amefunga ndoa na mwimbaji wa Injili nchini Kenya Emmy Kosgei tarehe 31 Agosti 2013 nchini Kenya na tarehe 14 Septemba 2013...
View ArticleKutoka kwenye Uislamu mpaka Mwimbaji wa Injili kimataifa- Fay Destiny
Amekutana na Bwana Yesu tangu akiwa na umri wa miaka 12 alipokuwa akiteswa na vifungo vya shetani katika utoto wake lakini mkono wa Bwana Yesu ukamuokoa na kumuita amtumikie kwenye kazi yake. Japokuwa...
View ArticleHongereni John Lisu kwa baraka ya watoto watatu!
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania John Lisu na mkewe Nelly Kaisi, wamepata mapacha watatu siku ya tarehe 7 January 2014. Akiongea na blogs mbali mbali anasema “Mungu amenibariki kwa watoto watatu...
View ArticleUzinduzi wa KAMATA PINDO LA YESU kufanyika Dar es salaam!!
Sikiliza wimbo wa Kamata Pindo…. Uzinduzi wa album mpya ya Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Rose Muhando inayoitwa “KAMATA PINDO LA YESU”unatarajiwa kufanyika August 03 2014 katika ukumbi wa DIAMOND...
View ArticleKiu yangu ni kuongezeka zaidi katika kumjua Mungu – Angel Bernard
Huu wimbo niliupata palepale studio. I heard the beat and hapohapo maneno yakaflow… Yes, ilikuwa ni desire yangu sana kujazwa zaidi Na zaidi, nilikuwa na kiu sana ya kukutana na Mungu katika hicho...
View Article