Quantcast
Channel: Strictly Gospel » SINGERS
Browsing all 31 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Take The Victory ya J Sisters, yawafanya wafikirie Makubwa zaidi!

Waimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania, J Sisiters wakifanya Mahojiano na Dada Mary Damian wa Strictly Gospel Ni ndugu wa familia moja Juliana Mshamma, Jacqueline Mshamma, Jessica Mshamma na Jennifer...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujana ndio muda wa kumtumikia Mungu na pia KUMJUA MUNGU – ELANDRE

Jina halisi anaitwa Emmanuel Andrew Mkumbwa,  Anajulikana na marafiki zake kwa jina la ELANDRE. Kwa wanaofahamu muziki wa Gospel Hip Hop, sio jina geni kwao kutokana na radha ya  sauti yake na ujumbe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mtu aponywa UKIMWI kwa kusikiliza Album ya nyimbo za kuabudu!

Mungu apewe sifa kwa matendo makuu anayotenda kwa kupitia mtumishi wake Mwinjilisti Milca Katete anayefanya kazi ya uimbaji nchini Canada. Muimbaji huyu mzaliwa wa Arusha Tanzania, amesikika sana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Umetenda Mema – Kambua

 Kambua Kambua ni muimbaji wa nyimbo za Injili  mwenye jina kubwa nchini Kenya, alianza kuimba na kupenda nyimbo za Injili alipokuwa mdogo na watu wengi waliona kilichokuwa ndani yake, baadaye mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Glorious Celebration Band

Band nzuri inayovuma kwa sasa nchini Tanzania, kwa uchezaji wao wa staha na sauti zenye kusikika vyema. Kiongozi wa  Glorious Celebration Band Emmanuel Mabisa, aliongea nasi machache kuhusu kazi yao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bahati Bukuku asema DUNIA HAINA HURUMA

Bahati Bukuku, Rose Muhando na John Shabani mwezi wa Pili! Mwimbaji wa Injili Tanzania Bahati Bukuku baada ya kuwa kimya kwa miaka minne tayari ana album mpya yenye jina DUNIA HAINA HURUMA, hii ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Karibu Roho – Neema Cizungu

Neema ni muimbaji wa nyimbo za Injili mwenye asili ya Congo, anafanya muziki wake nchini Kenya. Amejulikana Tanzania na album yake ya Karibu Roho iliyofanya vyema Afrika Mashariki, unaweza kusikiliza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nani Mshamba – Stara Thomas

Muimbaji wa Injili nchini Tanzania, Stara Thomas. Ameachia wimbo wake wa Nani mshamba unaopigwa kwenye vituo vya redio za injili nchini. Wimbo huo una maneno yafuatayo “Aliye kwa Yesu ni mjanja, Aliye...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera dada Kambua

Jumamosi iliyopita tarehe 7/4/2012 ilikuwa siku ya furaha kwa dada Kambua Manundu. Ambapo alifunga harusi yake na mfanyabiashara na mchungaji Jackson Mathu kwenye bustani Windsor Golf Hotel....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIFA EBENEZER FOUNDATION kuzinduliwa Biafra!

Mwimbaji wa Injili kutoka Tanzania Sifa John anatarajia kufanya Tamasha kubwa la uimbaji ambapo atazindua album yake USILILIE MOYONI na huduma yake SIFA EBENEZER FOUNDATION siku ya tarehe 29/4/2012...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Africa Praise Night – Ottawa

Upendo Kilahiro amealikwa nchini Canada kwa ziara ya mwezi mmoja ambapo jumamosi wiki hii atafanya huduma kwenye kanisa la Christ Chapel Bible Church jiji la Ottawa. Huduma atakayoifanya ina lengo la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUBELE&DIANA MINISTRIES Kuleta Uamsho wa Kusifu na kuabudu Afrika

Diana Kihayile akiongea kuhusu Afrika Inapendeza kuona watumishi wanaoenda nje ya Nchi yao kuendelea na huduma na kuzidi kuwa na kiu katika kumtumikia Bwana. Pichani ni dada anayefahamika kama Diana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

King’s Choir Kufanya Live recording, Morogoro

Ni tarehe 03 June 2012, Praise Team ya King’s kutoka mkoa wa Morogoro watafanya Live recording. Itakuwa ni Ibada ya kusifu na kuabudu kanisa la Canaan Calvary Assemblies of God, wakishirikiana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania yapata mwakilishi tuzo za Africa Gospel Music Awards

Christina Shusho Mwimbaji wa muziki wa gospel nchini Christina Shusho ameingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za Africa gospel music awards zinazotarajiwa kutolewa tarehe 7 mwezi July mwaka huu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waimbaji ”KWETU PAZURI” Wawasili Dar Leo

Sarah Uwera mmoja wa waimbaji wa kundi hilo, walipotembelea nchini mwaka jana Kwaya ya Ambassadors of Christ kutoka jijini Kigali nchini Rwanda imewasili leo Jijini Dar es salaam wakitokea nchini kwao...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

John Shabani Alifanikisha Tamasha la Sifa na kuabudu, Kuombea Taifa

Watu wengi walijitokeza kwenye tamasha la John Shabani. Tamasha hilo lililokuwa maalum kwa ajili ya Kusifu na Kuabudu na Maombi kwa ajili ya Taifa Letu la Tanzania lilifanyika Katika Kanisa la TAG...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

John Lisu kufanya huduma Ulaya

John Lisu wakati wa huduma Mwimbaji wa nyimbo za Injili John Lisu yuko Norway kwa sasa, anaendelea na huduma ambapo mpaka sasa amefanya Oslo, Stavanger, Kopervik, baada ya Norway anatazamia kwenda...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masanja Mkandamizaji atoa tahadhari!

Mchekeshaji maarufu Tanzania ambaye pia ni muimbaji wa nyimbo za Injili Masanja au kwa jina jingine Mchungaji mtarajiwa, ametoa tahadhari kwa wanaombeza kuigiza wakati yeye Mungu hajamwambia kuacha....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waimbaji wa nyimbo za Injili ni wanafki – Stara Thomas

Mwimbaji wa zamani wa Bongo fleva ambae sasa ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Stara Thomas hivi karibuni alitaja sababu za kushindwa kushirikiana na waimbaji wengine wa nyimbo za Injili kwenye album...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hongera Tete Runiga

Muimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya, Tete Runiga amefunga ndoa takatifu nchini humo, kwa sasa anatambulika kama Tete Meshack. Tete anayesikika kwa album ya NIMEPATA RAFIKI ni mdogo wa Marehemu...

View Article
Browsing all 31 articles
Browse latest View live