Ni tarehe 03 June 2012, Praise Team ya King’s kutoka mkoa wa Morogoro watafanya Live recording. Itakuwa ni Ibada ya kusifu na kuabudu kanisa la Canaan Calvary Assemblies of God, wakishirikiana na kwaya hiyo.
Tamasha hilo la uimbaji litarekodiwa kwa moja katika Audio na Video. Wakazi wote wa Morogoro na vitongoji vyake, Karibuni tumuabudu Mungu pamoja, tuone nguvu ya Mungu katika utendaji wakati tukimsifu na Kumuabudu yeye Aliye Hai.
Tumsifu Mungu kwa wimbo huu ulioimbwa na King’s katika moja ya Ibada ya Jumapili, SIFA ZAKO ZIVUME
Filed under: MATANGAZO, SINGERS
